Alitengeza mkasa, Kwa namna nilivyobwege nikaingia kwenye 18 za uongo wake.. dogo alikuwa mkali anajua kudekaa.. nahisi alizila na msela wake wake.. alitengeza ajari.. ikawa nitumie hiki nifanye hiki.. kuja kushtuka baadae mzigo ushagotaaa juuu 😅😅😅😅
Nita mdakaa , baada ya pale alienda kusoma.. namfahamu hadi huwa namfuatilia kimyaa kimyaaa bila yeye kujua... Nitalala nae mbelee 😁😁😁..maana sina utajiri WA kuchoma hela yote hiyo