National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Alitengeza mkasa, Kwa namna nilivyobwege nikaingia kwenye 18 za uongo wake.. dogo alikuwa mkali anajua kudekaa.. nahisi alizila na msela wake wake.. alitengeza ajari.. ikawa nitumie hiki nifanye hiki.. kuja kushtuka baadae mzigo ushagotaaa juuu 😅😅😅😅Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bagoshaaa! Mimi mpaka ukanitoa pesa mfukoni aisee, wewe basi utakuwa unakaribia kufa. Hivi unanitoaje dola 1200 kiwepesi kabisa ? Unaanzia wapi ?
wacha nibaki aunt zone nifaidi vibuku buku😂Ukikua utavikuta totoo😴
unajifanya hukumbuki ule uzi wake sio😂Wewe ni kijana mnyenyekevu kabisa
mshamba_hachekwi cha kumchafua huyu mtu
Ase ungekuwa mwanangu ningekuchapa mpaka usivae macheni yako hayo kabisahii imephotoshop-iwa😅
View attachment 2694733
Kijana mdogo ila usumbufu huku ndani😂🥰hii imephotoshop-iwa😅
View attachment 2694733
we jamaa mnafki sanaAse ungekuwa mwanangu ningekuchapa mpaka usivae macheni yako hayo kabisa
Ule uzi nilimind sana walivyoufuta, waliboa🤣unajifanya hukumbuki ule uzi wake sio😂
Sivai kama yako hayo macheni kama utepe wa kufungua kisimawe jamaa mnafki sana
wewe mbona unavaa😂
zamu yako😂Kijana mdogo ila usumbufu huku ndani😂🥰
Leta ingine bila black and white nikuchambue vizuri
Sasa 🍯🍯🍯Kijana mdogo ila usumbufu huku ndani😂🥰
Leta ingine bila black and white nikuchambue vizuri
picha tu hiyo hatushindi nazo😅Sivai kama yako hayo macheni kama utepe wa kufungua kisima
Ngoja niende photoshop kama wew nakuja😂😂😂zamu yako😂
usilete miyeyusho
Umeona eeh🥰wacha nibaki aunt zone nifaidi vibuku buku😂
Ila humu ndani kuna wanawake vyuma, kheeeh 🤣Alitengeza mkasa, Kwa namna nilivyobwege nikaingia kwenye 18 za uongo wake.. dogo alikuwa mkali anajua kudekaa.. nahisi alizila na msela wake wake.. alitengeza ajari.. ikawa nitumie hiki nifanye hiki.. kuja kushtuka baadae mzigo ushagotaaa juuu 😅😅😅😅
Atakama ndio ziwe kama utepe wee diamondpicha tu hiyo hatushindi nazo😅
sasa mbona ulikua unajifanya mtakatifu unashangaa😂Ule uzi nilimind sana walivyoufuta, waliboa🤣
Nita mdakaa , baada ya pale alienda kusoma.. namfahamu hadi huwa namfuatilia kimyaa kimyaaa bila yeye kujua... Nitalala nae mbelee 😁😁😁..maana sina utajiri WA kuchoma hela yote hiyoIla humu ndani kuna wanawake vyuma, kheeeh 🤣
Aisee, kama siyo uhujumu uchumi, hiki ni nini tena ?