Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Sio kweli yako ulifuta jana sikuwahi ulipoweka ghafla ukafuta wakafuta nyumbu(joke) wengine
Mie unanisingizia tu, sijafuta zipo humu humu.
Sio kweli yako ulifuta jana sikuwahi ulipoweka ghafla ukafuta wakafuta nyumbu(joke) wengine
Mie unanisingizia tu, sijafuta zipo humu humu.
Unanisingizia, wewe ndio umefuta. Ila niliiona.Umefuta
Nani Huyo.Mmhh kuna mtu humu uliwahi kumuambia kuwa tangu umejiunga JF umeshabadili id mara nyingi sasa sijui ulimdanganya


Sio kweli yako ulifuta jana sikuwahi ulipoweka ghafla ukafuta wakafuta nyumbu(joke) wengine






Uliiona?,Unanisingizia, wewe ndio umefuta. Ila niliiona.





Nishakutumia.



wewe ukinitumia picha yako si dunia itabadilisha mzunguko wakeNiliiona.Uliiona?,
Mbona niliwavizia mlivyoondoka
Nimetuma, ole wako dunia isibadili mwelekeo.wewe ukinitumia picha yako si dunia itabadilisha mzunguko wake
Nani Huyo.
Njoo pembeni uniambie![]()



hata mimi nimesahau eti maana ni muda mrefuMbona sizioni mkuu?? Au hujajua naongelea page gani??
Wallah Kuna kazi nilikuwa nataka kufanya nimeacha nasubiri picha 😍😍
Ngoja nitaweka nyingine then nitakutag.
Na mimi nitag mwaya
Ngoja nitaweka nyingine then nitakutag.
Unalia nini sasa?
nikutumie yangu?Yaani picha nyingi zimefutwa mfyuuuu zenu![]()
Ukifukuzwa kazi useme ulikuwa unasubiri pichaWallah Kuna kazi nilikuwa nataka kufanya nimeacha nasubiri picha![]()

Mimi nimeweka mwanzoni kabisa mwa uzi,labla yako sijaiyona mkuu.Weka picha


We waache wanaogopa siku wachomoa betri watatuwekea picha full sio nusu bora warushe kuepusha lawama baadae![]()