Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Si ndiyo hata mimi nashangaa yaani sijui wananivizia nikitoka maana daahYaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje?




Si ndiyo hata mimi nashangaa yaani sijui wananivizia nikitoka maana daahYaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje?




Ila una mwili mzuri sana sio mnene sio mwembamba, kwa ujumla unabebekaYaani wewe unakuwa humu halafu picha zinakupitaje?
Alienda PM
Yaani huyu alipitwa na Basi stand



Mimi yako sijaionaUna hakika sikuwepo? Nilikuwa napita kimya kimya. Ile nataka nikuquote nikwambie ukaifuta. Ila niiiona.





Embu simama tuone
Sifuti, nahisi kuna hujuma unanifanyia zinapotea ktk mazingira ya kutatanisha.wee si unafuta?
Si ndiyo hata mimi nashangaa yaani sijui wananivizia nikitoka maana daah![]()





Shukrani mpendwaWewe kafanye tu sitoifuta, utaikuta.
Wacha bwana, umeniona wapi? Mie chibonge haswaaaa.Ila una mwili mzuri sana sio mnene sio mwembamba, kwa ujumla unabebeka
Mimi yako sijaiona
Fanya unitumie Basi sister![]()








Nakazia 😂😂 ni bora wasiweke tu wanaboa bana.Hivi why mtu uweke picha na kufuta,mnatupa tabu wenzenu tunarudi nyuma kusoma comments na picha tunakuta imefutwa.
Kweli kabisa mimi sijui ni abiria wa aina gani yaani kweli bus inanipita huku nimesimama hapo hapo stand kweli bora hata ningekuwa home ningesema nilichelewaAlienda PM
Yaani huyu alipitwa na Basi stand
Unazijua pages za browser zilivyojipanga??Yap kabla ya kuja na app
Aaah wapiWacha bwana, umeniona wapi? Mie chibonge haswaaaa.
Kuna watu wakifuta picha siumii kivile ila sio Atoto na Saint anne 😀😀😀😀haiwezekani yaani.sasa ninyi ndiyo mnafanya tunasubiri picha zenu kama mishahara
Haya bwana.Aaah wapi