Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaniii!! Ile asubuhi nikataka nikuulize cuzooo hivi wee ni muislam eehhh, hebu fanya kuja kuokoa jahazi hapaaaa ni dakika sifuri huooo mtandio umepereruka ..😁😁😁😊!
Cuzo me nmeokoka nampenda Yesu 😀😀😀
Ila mitandio Ina wenyewe Akina Swaumu
 
Antonnia nimekuza nywele dear
Kufunga mtandioo kichwani leo nilikua kwa mwenye Halmashauri yake nimepiga jarabibibii sijui ndio hijabu au jubaaa mnaita mi sijui hata😊😊😁!! mtandio kichwani haukai Kabisaaaa!!
Ooh pole sana nimechelewa njia rahis uwe na zile Pini unabana kichwani unajifunika kimtindo hautoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…