Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Yule pongo safi sana, wacha apumzike tu huko kuzimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aongee vizuri na mimi...
Ajifunze kilichompata yule pongo fasta tu[emoji23]
Yule pongo safi sana, wacha apumzike tu huko kuzimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aongee vizuri na mimi...
Ajifunze kilichompata yule pongo fasta tu[emoji23]
Sema nini, wazushi hawa ndio maana hawanaga option ya kufuta account, maupambavu kama haya watu wengi wanafuta account zao... mie sijawai lala hata na dada mmoja JF sio kulala tu hata kukutana usoso kwa uso sijawai... ila mtu anatokea tu kukuchukia kama sio uchawi nini aiseeMwaka huu ni wako[emoji38][emoji38][emoji38]
Washamba sana, acha tusake machimbo mapyaaa tu ya kutoa storyAf sikuiz wanakibuli
Ahahah mkuu ww si ulisema ushalal na. Lesbian humu alikuwa anajitangazaSema nini, wazushi hawa ndio maana hawanaga option ya kufuta account, maupambavu kama haya watu wengi wanafuta account zao... mie sijawai lala hata na dada mmoja JF sio kulala tu hata kukutana usoso kwa uso sijawai... ila mtu anatokea tu kukuchukia kama sio uchawi nini aisee
😀 😀 😀Kule story tu za kuchangamsha.. ila ukweli ni kwambaAhahah mkuu ww si ulisema ushalal na. Lesbian humu alikuwa anajitangaza
kuna uzi mwingine niliona wanalalamikiwa kwa kuedit comment ya mtu..., so baaddd. credibility ya hii forums inashuka siku hadi siku.Wanafuta tu wanapo amua.. hutojua aliefuta wala sababu...
Nyie mod nipengi ban la maisha .. maana hamna option ya kufuta account... mna u dictactor sana
Active
Cookie
Mhariri
Moderator
Maxence Melo
Wewe mwanamke au mwanaume?
Mkuda sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Sema nini, wazushi hawa ndio maana hawanaga option ya kufuta account, maupambavu kama haya watu wengi wanafuta account zao... mie sijawai lala hata na dada mmoja JF sio kulala tu hata kukutana usoso kwa uso sijawai... ila mtu anatokea tu kukuchukia kama sio uchawi nini aisee
Sasa njoo na nyamaHamna namna, weekend iendelee🥂View attachment 2689882
Punguza ukali wa maneno ohooWashamba sana, acha tusake machimbo mapyaaa tu ya kutoa story
Na wewe acha vya watu dogo[emoji1787]Mod.. acheni mambo ya kishirkina.. JF sio special sana kama mnavyo hisi...
Hapa penyewe tunakuja kujipumzisha, mnatuchoshe tenaa
Mdomo uliponza kichwaHivi kumbe moods wanaweza kufuta bila kutoa sababu yaani..
Hawalazimiki kumpa taarifa mwenye content makosa yake?
si itakuwa dictatorship
Kibuyu kimo ndani 🤣🤣🤣🤣Mjep Depal mshamba_hachekwi Poor Brain DeepPond manzi ya Arusha inataka kuniua kisa cool boy poa tu View attachment 2689995
😋😋Sasa njoo na nyama View attachment 2690032
Bado hatujamaliza hadi tumemalizana.Yule pongo safi sana, wacha apumzike tu huko kuzimu
🤣🤣Cigars on ice cigars on ice 🎤😄
Usiwe kondoo wewe, tutawazoesha vibaya..., Watengeneze utaratibu wa kutoa feedback mwenye uzi anajua alikosea wapi, next time harudii.Mdomo uliponza kichwa
Niache na ukondoo wangu 😆Usiwe kondoo wewe, tutawazoesha vibaya..., Watengeneze utaratibu wa kutoa feedback mwenye uzi anajua alikosea wapi, next time harudii.
Check and balance tuu