Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kuna mod msengerema atakuwa hanipendi... wananiandama kinyamaa yani.. manina zaooo aisee... wafute tu ID yangu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Tatizo mnashobokea madem wa mods[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila unalofanya pm wanaku..zoom tu
 
[emoji51] [emoji51] [emoji51] Wanaboa kinyama basi

Namini kuna mod ni vilaza sana humu ndio wana pigo za kiwaki... wao wapambane na hali zao tu.. demu wa peke yao atoe wapi
Kuchapiwa unaona haivumiki mkuu.
Huoni watu hata humu wakiona ma ex wanaflirt na wengine vita vinaibuka?[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuchapiwa unaona haivumiki mkuu.
Huoni watu hata humu wakiona ma ex wanaflirt na wengine vita vinaibuka?[emoji16][emoji16][emoji16]
😀 😀 😀 Nabaki nahisia, kuna mwamba humu anamawasiliano mazuri sana na mod wa jf... kuna mahala alisikia namkula manzi wake, wakati sio kweli hata Pm sijawai chart na hiyo manz.. tangia hapo mikosi inaniandama humu
 
Back
Top Bottom