Selfika na JF: Snap it. Show it

Napenda zile za zamani mkongwe mwenzangu😍
Weee kwanza zamani ulikua na id ganii najiuliza sipati majibu ujuee hebu ning'ate sikio kwanzaaa!!
Afu kwa story zako za miaka ya 95 huko kweli unaonekana mkongwe wewe!😁😁☺️
 
Reactions: 511
Weee kwanza zamani ulikua na id ganii najiuliza sipati majibu ujuee hebu ning'ate sikio kwanzaaa!!
Afu kwa story zako za miaka ya 95 huko kweli unaonekana mkongwe wewe!😁😁☺️
We mah niache😂😂
Mi fomu sikisi liva
 
Weeee coca alikwambia hata aumweee mizagamuo ni constant!! Lazima umpeeee[emoji3526][emoji3526][emoji16]!!

Atatupia badaeee cocaa mzunguuuu!!
Asipotupia nistue nitacompaseti mimiii hata za miaka 47 hukooo[emoji3526][emoji3526][emoji3526]!!
Ataonaa baadae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpitimbi sehemu gan? A pale misheni? Au B Secondary kule had Humbaro?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna dogo alikuwa anatokea huko, tukicheza ukimpiga anasema huendi pitimbi a bibi😂😂 alikiwa anapaona kama ulaya yani
 
😁😁😁☺️☺️!!
Mah forever and always !
🕺🕺🤸🤸!!

Enhee ndio username yako za karee ipi vileeee🤠!!
Mi mpya tu hapa sina hata 28 bado. Huwa naasoma comments za zamani wakati huu uzi Unaanza, nimefika page 14578 sasa😂

Kuna sehemu nilikuwa nakufananisha mwandiko ndio nikakujua usiku wa jana👍
Imeisha hiyo🏃🏃🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…