Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwali wangu uvivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kupika hobby aisee
Shangaziii mnifunde kuhusu kupikaa, sio kwa uvivuu huu.
G siku hiyo aliamua kunichana makavu, na ilinichomaajee nilinuna na kumwaga chakula.

Alisema "yaan ungekua unajituma kwenye kupika km kwenye kusex mbna ungenenepa na kunawirii" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku ilee alinichomajee moyoo.
 
Hahahaaa.. chapati nuksiii kama huzijulii vizuri lazima zikutoe nishai!😁
Ananipenda mwenyew nilitoka nikarudi km saa moja hiv akanmbia nisipike atanioetea chapat kuja CD ila alianza kucheka mwenyew mm nikamalizia 🤣🤣🤣🤣
 
Kupika hobby kipenz usijipe stress😂😂
Ila jitahid kias hata mara moja moja
Huo msuto ni WA level ya PhD kama nakuona ulivokuwa umejiinamia😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Wee akili yako si unaijua mwenyewe!!
Wanasema mwanaume tumbo kwanza!! Yani ale ashibe sasa wewe na bange zako hizo Siku mtakauka mnazagamuana[emoji23][emoji23][emoji3526]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna kuna siku alinichomajee moyoo, alinipa maneno kuntuuu.
 
Mikorogoo ya Tandika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣Unipite tu aise my skin ni oily skin Yan kidogo uso haukai sawa had niuzingatie ila sio mkorogo
Ila mm mweupe mwilin kuliko uso 😂😂😂nafikir sababu ya nguo nzito
 
Ananipenda mwenyew nilitoka nikarudi km saa moja hiv akanmbia nisipike atanioetea chapat kuja CD ila alianza kucheka mwenyew mm nikamalizia 🤣🤣🤣🤣
Angekupa usukani wa jikoo mastaa jiko mwenyewe mbona angefurahi naroho yakee lol mi nikikaa nawewe ntapasuka kwa madikodiko!! 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasikia natumia lotion ya kuning'arisha sitaki ya kuchubua naipenda rangi yangu nyeusi. Km unapenda kweli si upake family care,

Kuhangaika na makoro koro ya kukung'arisha means rangi yako hukuibalii na haiwakiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wasituchoshee hapaa.
 
Natural waachie misitu wapake tu 😂😂😂😂
 
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa udugu akee💪💪💪💪🕺🕺🕺🤠🤠🤠🤠!

Wasituchoshe tusiwachoshe...

Shortly Tusichoshaneeeeeee😊😊😊😊!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…