Majobless tumekuelewa mbona.Tangazo hilo uwenda nimekosea kuandika ila please nisaidie kama kuna vijana kesho waje ofisn izo nssf watashughulikia wakiwa wanapewa training nipo nje muda
Sawa tutaona utaweza ngapi😅Asipojibu nitamvamia tu pale ofisini kwake mapema
Ndio na nina kiu balaaaa😋🥂
Nishajibu uko chini ata kama ni mwanafunzi wa chuo ila awe yupo likizo location REGENT BUSINESS PARKkazi gani??
Ofsa mwajiri huyo ujueUmeanza lini kutangaza kazi?
Kumbe ni mtu mzito sana😁Ofsa mwajiri huyo ujue
Ya miatano lakini😂Ninunulie mdogo wangu
Leo bando liko chini utakua umenipiga tafu
Mimi ninahitaji watu saba tu sasa nikisema muje wote mkija 1000 nawapeleka wapi?Majobless tumekuelewa mbona.
Tuje saa ngapi
Anadhalilisha gauni langu shos wakoWeee ni mwehu ujuee hahaha!
Hahahahaa sawaSawa tutaona utaweza ngapi😅
Ahahah nimechekaOfsa mwajiri huyo ujue
duh, ipoje hiiinterviewer
BalaaKumbe ni mtu mzito sana😁
Kwa kwelii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nalipa fadhila kidogo[emoji23]
Hata ya miatano tu.
Siyo yeye anatupa kila siku,sisi hatujawahi kumpa.
Hakuna tracksuit nazipenda km Dark blue. Zinanipendezaa mnooo.Tracksuit ndo blue tupu sema vile vitambaa vya magauni vilikuwa vile vya chekechea
Kweli uduguuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee ni mwehu ujuee hahaha!
Dark blue nzuriHakuna tracksuit nazipenda km Dark blue. Zinanipendezaa mnooo.
Haya miaka 2 waliyokaa mashuleni, leo ndo wataona walichovunaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akishakupaa ipitilize kwangu.Nyingi nazitoa wapi?
Mbona unanibania riziki yangu mlongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada hauko serious wee. KhaaahMimi niko Dar jamani natafuta mtu aniunganishe kwenye kazi za ukonda wa Mabasi ya mikoani specifically mikoa hii Mbeya, Kilimanjaro, Tanga, Dodoma, Mwanza, Arusha, Iringa wakuu nimechoka kazi za uhausigeli [emoji3064][emoji3064]
😅Balaa
Soon atakua boss wangu