Selfika na JF: Snap it. Show it

Msitufanyue hivyo jmn
Kwahiyo sie wengine tusiolewe na wakaka wazuri kisa takoooπŸƒπŸ˜Ž
 
Huna lolote, ndo zako baba weeeπŸ˜…πŸ˜Ž
 
Urudi Atown sasa upambane na baridi lako madam
U boss haikwepeki huo huna namna ya kuukimbia
Napokea Kwa jina la Yesu πŸ˜…

Ila A-town bana napenda vile Ile Hali ya hewa Huwa inafanya ngozi yangu inakua vzr km Niko ulayaaaa , vingine hapana!

Ila kuzuri
 
Kuingia kazini si mpaka uitwe mtumishi au unataka niibuke tu kwa akili zangu mwenyewe nianze kujiita nabii/mtume/mtumishi/mwalimu?

Toa mwongozo mtumishi πŸ™πŸΏ
Hapana
By default Kila mmoja ni muinjilisiti!
Ile tu kumshuhudia mtu ,mambo Mungu amekutendea umefanya kazi ya Bwana!
Tatizo watu wanafikiri mpk upande madhabahuni,uhubiri au uombee watu ,etc
Lkn sio hivyo!
 
mshamba_hachekwi
Come this way ....🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…