Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,836
Mpwa. Leo Jumanne huku Misungwi ni siku ya mnada; na kama unavyoona tayari tupo site mpwa ππππͺπͺMpwa baada ya mazungumzo ya miwa Jana nikaenda dukani nikakuta sehemu wazee kama 10 hivi wanakula acha nicheke nikakumbuka ule Uzi ππππ
Mmoja akaniita nikachukue nilicheka had walinishangaa,Kila nikiingalia ilivo mirefu Sina mbavuπππ
Shimba ya Buyenze
πππmpwa beba mitatu hapoππMpwa. Leo Jumanne huku Misungwi ni siku ya mnada; na kama unavyoona tayari tupo site mpwa ππππͺπͺ
View attachment 2684596
Nina stock ya kutosha room mpwa. Nilinunua minne jana nikapambana na mmoja bado ipo mitatu ππππmpwa beba mitatu hapoππ
Mpwa hauko serious wenzio wanapiga yote Kwa masaa TUππNina stock ya kutosha room mpwa. Nilinunua minne jana nikapambana na mmoja bado ipo mitatu π
Kuna jino linanisumbua mpwa ndo maana naonekana mzembe πππMpwa hauko serious wenzio wanapiga yote Kwa masaa TUππ
Elewa neno #NZIMA#
Yenyewe hiyo kabisaMpwa. Leo Jumanne huku Misungwi ni siku ya mnada; na kama unavyoona tayari tupo site mpwa ππππͺπͺ
View attachment 2684596
[emoji91][emoji91]hapo ni wapi mkuu
[emoji91][emoji91]hapo ni wapi mkuu
Saluni ya kunyoa huku kwetu Sanya Juu!!!π[emoji91][emoji91]hapo ni wapi mkuu
bado upo hapo hapo, nije kunyolewa hapo? Commission ya marketing utapokea weweSaluni ya kunyoa huku kwetu Sanya Juu!!![emoji16]
Niende wapi na mimi ndo nawaosha wakaka na wababa wakishanyoa??πbado upo hapo hapo, nije kunyolewa hapo? Commission ya marketing utapokea wewe
Arooo kibajaji hapaa
kuosha au kuogesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niende wapi na mimi ndo nawaosha wakaka na wababa wakishanyoa??[emoji846]
Njoo haraka, na boss akijua nimekuelekeza mimi ntafurahi zaidi!![emoji847]
Wewe sio wa kukaa kwenye Kighetto bhana. πππππDah nimecheka
Kwan like ghetto tayar tuhamie au wew hutak kunioaπππ
Hmmm....kuogeshwa ni nyumbani!kuosha au kuogesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole mpwa upone haraka upige kazi watakupita wenzioπKuna jino linanisumbua mpwa ndo maana naonekana mzembe πππ
Family man ni Mwanaume ambaye hachepuki [emoji16][emoji16]She changed my whole life # family Man View attachment 2685013