Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mpwa baada ya mazungumzo ya miwa Jana nikaenda dukani nikakuta sehemu wazee kama 10 hivi wanakula acha nicheke nikakumbuka ule Uzi ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Mmoja akaniita nikachukue nilicheka had walinishangaa,Kila nikiingalia ilivo mirefu Sina mbavu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Shimba ya Buyenze
Mpwa. Leo Jumanne huku Misungwi ni siku ya mnada; na kama unavyoona tayari tupo site mpwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช

20230711_185021.jpg
 
Back
Top Bottom