Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee una moyo , siwezi kabisa kwanza hata hiyo nguvu sina .

Mie ukinichokoza labda niwe nimevurugwa ndo nitaongea ,
Siku nyingine nabaki tu kimya .

Watu waache chuki anyway , mtu humjui , unafaidika nini .
The pain is real!!

Tuachane naoo!!๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Tuendelee kuselfika zeityyuuu lol!! Hauna ka selfii hapo Jioni yangu iende vizuri ๐Ÿค”๐Ÿค”???
 
The pain is real!!

Tuachane naoo!!๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Tuendelee kuselfika zeityyuuu lol!! Hauna ka selfii hapo Jioni yangu iende vizuri ๐Ÿค”๐Ÿค”???
Kabisa , tuyaache yapite

Ngoja nikuangalize ya zamani kidogo .
 
Umenena kweli Mkuu.
Kusameheana ni muhimu.

Mimi sina baya na mtu
Ila wote walionikosea nilishawasamehe,,wengine hata kabla ya kuomba msamaha,hata ambao walionikosea na hawakuniomba msamaha nishawasamehe maana kusamehe si hiari,ni wajibu.

Ila natupiaga kwenye ignore list ili tusije tukasumbuana tena shetani apate nafasi.
 
Nimevukaa hizii level wa kunyumbaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kwa kifupiii mie ni Hero, mapambano yote niliyowahi pigana nimeshindaaaaa.

JF iko kiganjani kwanguu, hainistui wala haifurukutiii..
 
Umenena kweli Mkuu.
Kusameheana ni muhimu.

Mimi sina baya na mtu
Ila wote walionikosea nilishawasamehe,,wengine hata kabla ya kuomba msamaha

Ila natupiaga kwenye ignore list ili tusije tukasumbuana tena shetani apate nafasi.
Maturity ๐Ÿคฉ
 
Nimevukaa hizii level wa kunyumbaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kwa kifupiii mie ni Hero, mapambano yote niliyowahi pigana nimeshindaaaaa.

JF iko kiganjani kwanguu, hainistui wala haifurukutiii..
Wewe mshali sana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ unaweza mchamba hata mchungaji madhabahuni.
 
Aminaaa kubwaaaa!!!!

Asante sana kwa hii nondo barikiwa sana!
 
Nimevukaa hizii level wa kunyumbaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kwa kifupiii mie ni Hero, mapambano yote niliyowahi pigana nimeshindaaaaa.

JF iko kiganjani kwanguu, hainistui wala haifurukutiii..
"Jf ipo kiganjani mwangu"

Nimeipenda hii
 
Ulipendezaa dear afu shavu dodo hadi rahaaa!! Na vidole vimejaaa bila shaka hata kule kumejaaa kumenonaa kama vidolee hongeraa sanaa mamaa lipsssss ๐Ÿ’‹!!

Hakika Jioni yangu inaenda kuwa barreeeeeeeeddaaa kabesaaa
Wabheja sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ