Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,825
- 233,259
Kuongelea nyumba anayoishi mtu ni upumbavu na kiburi cha uzima.Ndio huku Nyakiboo sasa Hizo nyumba za kupanga zenyewe sasa lol!! vijumba vya udongooo hata havieleweki nyie Tanzania ni kubwaa hii hebu tembeeni matakoni mwa Tz mjue maisha muexperience enough ndio muwe mnaropoka wadogo zanguu!
Nimepita selfika nyuma leo nikaona ulivokua unalalamika nikakumbuka yangu lol!!Duh pole pia aisee bado wanakusema tu .
Yaani hao ni kuignore tu
Ukiongea ni kazi bure .
Vipi wazima huko ??
Unanipanga tu, sioni maendeleoKaribu sana
Na ndo atakuwa host wako ukija
Bado Watoto wa akili/ experience Mungu awarehemu bure tu!Kuongelea nyumba anayoishi mtu ni upumbavu na kiburi cha uzima.
Tunatofautiana kiuwezo na kimazingira.
Wengine kwetu labda nyumba za tofali,,,uwezo wetu umeishia hapo.
Huwezi kuanza kumbeza mtu eti kisa ana nyumba ya tofali,
Ndipo Mungu alipomjalia kwa wakati huo uwezo wake umeishia hapo.
Yako ile inaumiza sanaNimepita selfika nyuma leo nikaona ulivokua unalalamika nikakumbuka yangu lol!!
Humu tunasemana sana yanii kweli kupotezea tu!!
Huku kwema tushaanza mchakamchaka tena!
Number nitakupa mkishaonana shem , nikiwahi kumpa ataanza kuuliza maswali mengi .Unanipanga tu, sioni maendeleo
Unaonaje unipe namba yake basi.
Nijaribu kuongea nae nimsikie. π€©
Wee uduguu emu 7bishaaa, kukublec si baadae bhana, mida yetu ileee.Mna vitrukoo sio kidogooo walahiii!!
Hebu niachane nahuu upuuzi kwanzaa!!
Coca umedinda kuibless Jioni yangu??
Yaani rafiki unambania hivyo. Je ningekutokea weweπNumber nitakupa mkishaonana shem , nikiwahi kumpa ataanza kuuliza maswali mengi .
Unasemea ilee sema zileee!! Kuna hio moja babkubwa ile ikasome nakwambia hahahaaa... ebu nicheke kwanzaπ!!Yako ile inaumiza sana
So sad duh ,
Na tukapigwa na ban yaani ππ
Japo wengine fupi .
Ooh vyema sana, wameelewa viwalo huko ??
Poapoa kipenzi nasubiria mida yetuWee uduguu emu 7bishaaa, kukublec si baadae bhana, mida yetu ileee.
Anh basi nakupa mtamalizana wenyewe .Yaani rafiki unambania hivyo. Je ningekutokea weweπ
Nikaja speed nifurahie mema ya nchi kumbe ni mfanoπUnasemea ilee sema zileee!! Kuna hio moja babkubwa ile ikasome nakwambia hahahaaa... ebu nicheke kwanzaπ!!
Kuna hio mfano mtu ( Ke) kamzimikia Rabbitus ilee kufa kuozaa na yupo tayari Rabbit amle buuuree kabisa yani kwa udi na uvumba sasa gia aliyoenda nayo kwa Rabbit ni kukupondea wewe Tinsley kwakua anaona upo karibu na Rabbit ile mnavoflirt humu kutaniana mwenzenuu anatamani kufaaaaa π€ π€ π Ni anakukandiaa na kukuzushiaa balaaa πππππππ!!
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii πΊπΊπΊ!!
Nisogezeee huu ubuyuu, mbna sina taarifa yake. Fanyaa unifikie km ulivyooo.Unasemea ilee sema zileee!! Kuna hio moja babkubwa ile ikasome nakwambia hahahaaa... ebu nicheke kwanza!!
Kuna hio mfano tu lakini mtu ( Ke) kamzimikia Rabbitus ilee kufa kuozaa na yupo tayari Rabbit amle buuuree kabisa yani kwa udi na uvumba sasa gia aliyoenda nayo kwa Rabbit ni kukupondea wewe Tinsley kwakua anaona upo karibu na Rabbit ile mnavoflirt humu kutaniana mwenzenuu anatamani kufaaaaaNi anakukandiaa na kukuzushiaa balaaa!!
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii!!
Na ku 7bishaa mda ganiii?? Usijizime dataa weePoapoa kipenzi nasubiria mida yetu
Acha wivu shemπAnh basi nakupa mtamalizana wenyewe .
Mie huyo
πππ
Iko wapi hiyo ingineUnasemea ilee sema zileee!! Kuna hio moja babkubwa ile ikasome nakwambia hahahaaa... ebu nicheke kwanzaπ!!
Kuna hio mfano tu lakini mtu ( Ke) kamzimikia Rabbitus ilee kufa kuozaa na yupo tayari Rabbit amle buuuree kabisa yani kwa udi na uvumba sasa gia aliyoenda nayo kwa Rabbit ni kukupondea wewe Tinsley kwakua anaona upo karibu na Rabbit ile mnavoflirt humu kutaniana mwenzenuu anatamani kufaaaaa π€ π€ π Ni anakukandiaa na kukuzushiaa balaaa πππππππ!!
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii πΊπΊπΊ!!
WeuweeehAcha wivu shemπ
Wewe ni hottest of all time. Nakupenda sana shem.
Huo ni mfano tu mkuuππππ€ π€ sasa hayo maneno ya kumkandia Tin sasa hahahaaa acha nicheke tuNikaja speed nifurahie mema ya nchi kumbe ni mfanoπ
Jamani punguzeni mifano fanyeni kweli, tupo na upwiru wetu hapaπ
Tena Shida kubwa sana!!Iko wapi hiyo ingine
Huo ni mfano ni balaa πππ
Duh mbona balaa basi
Ila watu wana shida sana humu ππ
Watu wana wivu hatareeeeUnasemea ilee sema zileee!! Kuna hio moja babkubwa ile ikasome nakwambia hahahaaa... ebu nicheke kwanzaπ!!
Kuna hio mfano tu lakini mtu ( Ke) kamzimikia Rabbitus ilee kufa kuozaa na yupo tayari Rabbit amle buuuree kabisa yani kwa udi na uvumba sasa gia aliyoenda nayo kwa Rabbit ni kukupondea wewe Tinsley kwakua anaona upo karibu na Rabbit ile mnavoflirt humu kutaniana mwenzenuu anatamani kufaaaaa π€ π€ π Ni anakukandiaa na kukuzushiaa balaaa πππππππ!!
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii πΊπΊπΊ!!