Selfika na JF: Snap it. Show it

Poleee na hekaheka za kusemwa selfika dear!!!

Mie sikuhizi nimebaki kucheka tu kwa ninayoyasikia kunihusu humu!!
Duh pole pia aisee bado wanakusema tu .

Yaani hao ni kuignore tu
Ukiongea ni kazi bure .

Vipi wazima huko ??
 
Kotaziiii woyeeeeee!!!!
 
Nyie bado watoto sana kiakili Mungu awasamehe bureee!!

Mie nimedakia tyuuu kuhusu taa alosema Mwachi udugu akee hakuna hata la maana !
Hebu Fanya wepesi unibless kigodoro shoss sijakuona kitrambo sanaaa ujue!!
 
Huyu yalikuwa majaribio tu shem.
Huyo nimemuelewa sema tu hunipi masharti yake. Au niibie namba yake tu shem 😍
Hahaa akikungangania je

Bestie yangu hataki kuwa side chick eeh , utaweza hili ??
 
Reactions: 511
Nyie bado watoto sana kiakili Mungu awasamehe bureee!!

Mie nimedakia tyuuu kuhusu taa alosema Mwachi udugu akee hakuna hata la maana !
Hebu Fanya wepesi unibless kigodoro shoss sijakuona kitrambo sanaaa ujue!!
uduguuu relaaaxxx bhanaa wee, sasa na hilo la kukupa heka heka heka?? Mbna ni kuachaa tyuuh na kupotezeaa.

Mwenzio siku hizi JF naiona kawaida had najistukiaa, naweza kaa njee nisihisii km nna I'd hapa JF. Woiiiiiih
 
Kota zinapondwa wapi kwani?
Amayeziponda labda awe na mjengo wake au kazi anayolipiwa apartment ya kueleweka.

Vinginevyo ni kujifariji.
mie janaa nilipita samuweaa ndo nkakutaa watu wamecharuaanaa hapoo, hadi watu kukaa kota za serikali ikaingizwaa, JF bhanaaa full Manjegekaaa.

Nenda uzi wa unayemchukia JF. ukajionee dramaa za JF.
 
Ndio huku Nyakiboo sasa Hizo nyumba za kupanga zenyewe sasa lol!! vijumba vya udongooo hata havieleweki nyie Tanzania ni kubwaa hii hebu tembeeni matakoni mwa Tz mjue maisha muexperience enough ndio muwe mnaropoka wadogo zanguu!
 
Hee
Kuna nini tena?
Kweli napitwa na mambo

Sijui ndo uzeee

Nashindwa kwenda na kasi ya Jf.
Ntapitia nikipata muda.


Sema mambo ya kusemana ni upumbavu na uzwazwa wa hali ya juu
Nikiona mtu anambeza mtu siku hizi namuona kama chizi.
Tuna mambo mengi mazuri ya kufanya mbali na vijembe.
 
yaan ilikua tafranii tupuuu, mwenzangu mie ndo najionaa nshakua kikongweee, heka heka za JF nilisha dump hukoo.

Now naswampaaa, nikichoka na log out, sitaki tabu na pipoz wa kiibodiiiiii.
 
Mna vitrukoo sio kidogooo walahiii!!

Hebu niachane nahuu upuuzi kwanzaa!!

Coca umedinda kuibless Jioni yangu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…