PoleTatzo nashindwa kuendana na watu wengine.
Huwa naona mnavyochat hapa. Ni kama mnafahamiana vile, mmezoeana kabisa.
Sometime mnataniana.
Hiyo kitu mimi siwezi( japokuwa natamani kiasi fulani).
Mimi nikianzisha stori reply tano naishiwa cha kusema.
Na mtaani niko hivihvi.
🤣🤣mbona mdogo hivyo😂
au ni dagaa pori
Asante.Pole
Basi utachundaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Sina.
Ndo naisubiri hiyo ya ifakara kutoboa Songea, hiyo rahis mnoo sanaa. Nakuja kuvuna mpunga gran Ba.Kumbe unapakumbuka vizuri, kivuko cha Panton kimekufa baada ya kukamilika kwa daraja hili.
Hali ya barabara miaka ya zamani ilikuwa mbaya sana, lakini kwasasa kuna ujenzi wa barabara ya Lami unaendelea. Ukikamilika inaweza kuchukua saa 1:30 kutoka Ifakara hadi Mikumi kama una usafiri private, lakini pia ukitaka kufika Songea kupitia njia hiyo inaweza kuwa rahisi kuliko kupitia Njombe au Mtwara.
Karibu tulime Mpunga Mjukuu [emoji847]
Mfano nikiwa na helaBasi utachundaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakuchangamshaa mie hapa, na kuku connect na familia ya selfika.Mfano nikiwa na hela
Basi nichangamshe, nitakulipa nikipata hela zangu.[emoji16]Nitakuchangamshaa mie hapa, na kuku connect na familia ya selfika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na sie wala kucha je?mshamba_hachekwi bado tunaendelea na challenge ya kucha tuone watu wenye kucha chafu kama wanachimba viazView attachment 2682665
Wakubwa mnachangamshana tuuNitakuchangamshaa mie hapa, na kuku connect na familia ya selfika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupieni mkuu hii wiki tunaselfika vidole tuNa sie wala kucha je?
Hahahaha,mie simu haina camera,mkuu ninge selfikaTupieni mkuu hii wiki tunaselfika vidole tu
Unatuangusha sasa weweHahahaha,mie simu haina camera,mkuu ninge selfika
Karibu tuvune Mjukuu 🤗Ndo naisubiri hiyo ya ifakara kutoboa Songea, hiyo rahis mnoo sanaa. Nakuja kuvuna mpunga gran Ba.
Haya nitumie nauli, chapuu nakujaaa.Karibu tuvune Mjukuu [emoji847]
Wewe na kazi za shamba wapi na wapi 🤪Haya nitumie nauli, chapuu nakujaaa.