Selfika na JF: Snap it. Show it

Kujenga ni kuzika hela 🤣🤣
Na kwanini ujenge wakati una pesa ya kupanga.. anytime unazunguruka utakavyo 😝😝
Dah yaani huwa sipend kuna siku nimejitoa zangu naenda Ramadan nikatupia.picha wasp kumbe kuna mtu kauzika uko kaenda mwambia rafike yake ambaye nafahamiana nae na anacontact zangu anamwabia et huyu kutwa kwenda sehemu za kutumia hela nying lakini masikini wakutupwa dah nilikwazika.hela zangu napangiwa matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…