Umepika mwenyew?
sinaga huo utoto mimiWanachuo mkikutana sasa ee UE ilikuwaje?
Next week nafikir wiki hii ni bites Nina mood nazoNimemiss kek zako unapika lini tena nije kule?
Una utoto upi?sinaga huo utoto mimi
Andaa bisikuti sasaNext week nafikir wiki hii ni bites Nina mood nazo
we nichokozeπUna utoto upi?
Maana uko nimeona wanakusimanga kila.demu humu wewe unamtaka eti macho yako kama jua upitwi na kituwe nichokozeπ
Zinaonekana.soomth sanaTayar mbona View attachment 2682169
Yah tamu sana za tangawizi Zina ladha flan hivZinaonekana.soomth sana
Nazipataje sasa.mpemba.wanguYah tamu sana za tangawizi Zina ladha flan hiv
Ngoja nikufanyie utaratibu uzipateNazipataje sasa.mpemba.wangu
That why I love you ukifa wewe hauozi na ukioza unuki na ukinuka haupukutikiNgoja nikufanyie utaratibu uzipate
πππThat why I love you ukifa wewe hauozi na ukioza unuki na ukinuka haupukutiki
Sasa ulivyo na roho safi kama.maj ya.kilimanjaroπππ
HureeeeeDepal njoo uchukue zawadi kutoka Kaskazini, Magharibi, Mashariki na Unguja!View attachment 2682164
NimetamaniHureeeee
Pole & hongera kwa safari..
Tule kwanza, kisha tufungue zawadi πππView attachment 2682193
oya hizo MB 2.2 utanisamehe sifunguiπSamsung picha ziro nimeamua niwe na.simu mbili ya picha na.ya maongezi mshamba_hachekwi nikuazime moja?