Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila humu ndani kuna unaaa
Yaani tunaandika tu kujiburudisha lakini watu wanatu label sivyo kabisa

Sijapentaaaaa 😂😂😂😂
Achana na watu humu watakuumiza kichwa tu 😂😂😂
Alafu fanya mambo yako bila kuangalia watu watasemaje.
 
Pole 😢
Watu wanakuumiza sana moyo na wewe inaonekana hupendi maneno maneno na mambo ya kuvunja moyo. Chukulia poa ndio Dunia ilivyo
Asante sana , the world is cruel ooh
Maneno siwezagi eeh ..
🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…