[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikutafutie tena [emoji1787] na wakati nataka kujiweka mwenyewe kwa baunsa
Fanya hivi..Hahahahaha
Mama J kaenda wapi eti jamani
Shunie ni shahidii baba J
Eeeeehhhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa ubaunsa ule watu waogohaa
Waalaaa tuu jamani baba JFanya hivi..
Weka hiyo Baba J iwe signature yako kabisa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
EwaaahLeo nalala kwa Shunie
Baki nazoo
[emoji23][emoji23][emoji23] baunsa ananiangusha jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nalala kwa Shunie
Sikuji mimi jamani baba JNajua ikifika saa 7 utamwambie akulete
..
Sifungi hata mlango...ukifika ingia tuu..[emoji23]
Ndo hivyo dada jamani, mbona siku nyingi saaana jamani!!!!
Mimi niko singo kipenzi!
Jiongeze dada[emoji23][emoji23][emoji23] baunsa ananiangusha jamani
Abeeee[emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaaniii mecheka mimiii jamani!!!
Yeah miaka miwili imepita jamani!! Hivi kumbe ulikuwa wasoma eeehhh!!!
[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]Ewaaah
Sikuji mimi jamani baba J
Nguo zangu zilete kwa Shunie
Hivi miaka mitatu tayari?!!Hata mimi nasubiria nikuone,miaka 3 sasa but pm bado ina kufuli
[emoji73][emoji3166]Hahahahahaha
Ongeza sauti jamani
Tuma wewe hebuSakayo na shunie Tumeni picha...
Acheni story..