Kabisa ni kurara tu!Nawahi hapa nikajifunike blanketi ..
Hii nadra sana huku
Ah wewe pia shemCan't wait to meet you again.
Mlinisaidia mno mno.
πππ¨π¨Nenda kwa mchumba ako akakupee jotoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kali sana ehhPole. Kwani kuna baridi kali??
Sema watu wa daslam mnadeka sana
Au uko na BS? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akupashee pashee.Badae nikiamka !! Sio kwa hali hii ya hewa lol inashawishi kuraraa[emoji14][emoji42][emoji99][emoji42][emoji99][emoji99]
Yupo busyNenda kwa mchumba ako akakupee jotoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndiooo, au nasema uongooo???[emoji419][emoji419][emoji375][emoji375]
Kamata yoyote hapo,Yupo busy
Number haipatikani dear π₯π₯
Tamu balaaKabisa ni kurara tu!
Yaniii naona kama nipo Nyakiboo vilee joto linanitesa sana Dar huwa natokaje vipelee uwiiii!
Hali Hii tamu sana!π΄π€
Kwakee hupajuii?Yupo busy
Number haipatikani dear [emoji26][emoji26]
BS ndio nani??? Nipo na baba chanja wangu mieee!!Au uko na BS? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akupashee pashee.
Yupo vereeLady in Green anasemaje.
Ukimpa salamu zangu za ijumaa
Nataka ya kwake tu ππKamata yoyote hapo,
Unafail wapi
Ukiwa na mwenza lakini otherwise ni matumizi mabaya ya kitandaTamu balaa
Ka hali ka hewa kazuri sana .
Ni mwendo wa kujifunika tu
Usijareee Mie nipo furuuuuu π€ΈπΊ tena ndio naipenda hii hali tramu kinoumaaa!!
Ushakuwa mama mjengo mwenyewe ,Kwakee hupajuii?
Mwenzio kwa G huwa naendaa hata bilaa taarifa, anastukia nagonga mlango, km hajafunga nafungua nafungua naingia ndanii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Die hard fan ππNataka ya kwake tu ππ
Mito ndo company heheeUkiwa na mwenza lakini otherwise ni matumizi mabaya ya kitanda
Unaenda wapi tena kijanaKesho nasafiri tena udugu sasa itakuwaje