Selfika na JF: Snap it. Show it

Aminaaa amina shougaaangu!!
Hata vipensi vya kuchanikachaanika vipoo fanya ukuje kuniungisha uduguuu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapo Pa vya kuchanikaaa, umenikamataa ntavizoa km vyoteee. C unsjua napenda mwili wangu uwe nje upigwe na hewaaaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Babu shikamoo

Habari njema sana hiyo ,selfika idumu , hapa ni nyumbani .
Marahaba Mjukuu, kwa kweli nimepata faraja kuona Ile Ada niliyokuwa nawalipia Wajukuu zangu haijaenda bure.

Mmepambana sana kwa hoja kuitetea Selfika yetu hadi DP World wamekimbia πŸ˜…πŸ˜…πŸ™Œ
 
Marahaba Mjukuu, kwa kweli nimepata faraja kuona Ile Ada niliyokuwa nawalipia Wajukuu zangu haijaenda bure.

Mmepambana sana kwa hoja kuitetea Selfika yetu hadi DP World wamekimbia πŸ˜…πŸ˜…πŸ™Œ
Ni kweli hii ??
Sijafuatilia mambo ya siasa siku nyingi .
 
Watu wanatokaa uzeeni, wanaenda ujanani.
Nguvu ya [emoji385], [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamissa hiyo shingo, mama K hayo km anavuta Bangiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapo Pa vya kuchanikaaa, umenikamataa ntavizoa km vyoteee. C unsjua napenda mwili wangu uwe nje upigwe na hewaaaa.
Heheee aisee
Una ripped jeans za kutosha .
 
Reactions: 511
Ni kweli hii ??
Sijafuatilia mambo ya siasa siku nyingi .
Hapana Mjukuu, mpaka sasa DP World anaongoza 3 -0

Huenda sisi ndiyo tukawa Wazee wa mwisho mwisho kushuhudia Bandari ikihamishwa umiliki kwenda kwa WaDubai.

Sijui Wajukuu zenu watajivunia nini huko mbele ya safari

Anyways, wacha tunywe maji ya uzima si unajua weekend leo πŸ₯‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi zari imekuaje , nasikia amemuita mumewe vibaya .
 
Reactions: 511
Umetisha sana babu yake Antonnia
Chapa vyombo
Its Friday
 
So sad
Hayo ni ya kuyaacha tu

Tuishi tu , nchi ngumu hii .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…