Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii taratibuuu kwanii, hivii nikikumbukaa nachekaa sanaa, sisi hatukua wa kuachanaa.

Mapenzi ni utapeliiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣Utapeli nyie ndo mlikuwa matapeli wenyew 🤣🤣🤣
 
Yuko vizuri itakuwa watu wanaojua kupika wengi sio wachoyo Hawa wakuchemsha chemsha hivo supuzao za dagaa wananyima balaa hawali had mgeni aondoke
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utapeli nyie ndo mlikuwa matapeli wenyew [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku muhudumu anatuambia, "nyie watoto msome kwani hayo mnayo yafanya yapo tyuuh" [emoji23][emoji23][emoji23] anaongea huku anachekaaa.

Afu j3 ya kufungua shule hiyo wala hatuna habariii.
 
Ule utoto ulikua unatusumbua, pocket money inaisha na shule sijagusaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha hatari sana unaomba nyingine mm nilikuwa napewa Kwa ratiba natumiwa pesa na mama weekend had weekend ukijifanya mtumiaji wa ovyo kazi kwako😀😀😀😀
 
Kuna siku muhudumu anatuambia, "nyie watoto msome kwani hayo mnayo yafanya yapo tyuuh" [emoji23][emoji23][emoji23] anaongea huku anachekaaa.

Afu j3 ya kufungua shule hiyo wala hatuna habariii.
🤣🤣🤣Mambo mmeyaanza zamani nyie 🤣🤣🤣
 
Haha hatari sana unaomba nyingine mm nilikuwa napewa Kwa ratiba natumiwa pesa na mama weekend had weekend ukijifanya mtumiaji wa ovyo kazi kwako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa nyie wakishua si wengine tulikuwa tunapewa nauli ya kurudi shule then tunakula ugali wa shule muhula mzima bila pesa ya matumizi
 
Haha hatari sana unaomba nyingine mm nilikuwa napewa Kwa ratiba natumiwa pesa na mama weekend had weekend ukijifanya mtumiaji wa ovyo kazi kwako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mie mbna pocket money sijala sana, yote ilikua inarud kwa mama ananipelekea vicoba.

Michezo ya pesa nimeanza hata sijaanza 4m 5, kila nkitaka kuacha naona km naumwaaa, nakomaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie wa kuomba walikua wengi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo mmeyaanza zamani nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila nikikumbuka nataman ningekua bado nna no ya yule dada, nimuambie wateja wako wa faida, sahivinkila mtu na 50 zake, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yuko vizuri itakuwa watu wanaojua kupika wengi sio wachoyo Hawa wakuchemsha chemsha hivo supuzao za dagaa wananyima balaa hawali had mgeni aondoke
Kwenye kupikaa huyu mdada anajua, kanifundisha kukaanga yai la nyanya, linatoka km chips zegee, afu tamuu balaaa.

G mda wote ndo anataka nimkaangie, to be the honest huyu mdada ana roho nzuri mnoo, kanifundisha kupikaa na vingne sikuwahi jua.

Sijui kwann serikali haimpi ajira, kila akiomba anakosa.
Mbna ana utu sanaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siri zangu nyingii anazo alikua mdada wetu wa kazi, Paulina popote ulipoo uwndelee na kifua hicho na moyo huo.

Yaan yulee km kuniweka wazi duniani bas ndo angekua yeye, wazazi na ndugu wanakuja kujua, yeye ashatokaaa zamanii,yaan sina cha kusema, wadada wa kazi wanayajua mengi ya familia kuliko hata familia enyewee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzazi wako alikuwa anajua kuwa ulikuwa unalala lodge kabla ya kufika shule???
Hapanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wee hela tulikua tunachanga na BF wangu, siwezi tumia zote naanzaje kwan, hata hivyo mbna sikua natumia sana, nilikua natumia vyakula vya shule, sina mambo mengi yaan.
 
Sawa huyo BF bado unaye au mmshaachana, maana ujana unamambo mengi. Kwanini usingesuribiri umalize shule ukaolewa?? Ndio ufanye hayo mambo ukiwa na mumeo??
 
Sawa huyo BF bado unaye au mmshaachana, maana ujana unamambo mengi. Kwanini usingesuribiri umalize shule ukaolewa?? Ndio ufanye hayo mambo ukiwa na mumeo??
BF tulikua wote wanafunzi, tushaachanaa mda tyuuh.
Kuolewaa mchezoo? Waoaji wapo sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aaliyyah nisaidiee shangaziiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…