Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,858
Mpk tumbo linakaza 🤣😂😂Bal
Balaa mwanangu, miguu yote inaganda😂
Mpk tumbo linakaza 🤣😂😂Bal
Balaa mwanangu, miguu yote inaganda😂
Sawa, nimeipenda hiyo kuchaKwa mikono/ viganja
😂 tufanyaje sasa? Chai tumekunywa mpaka basiMpk tumbo linakaza 🤣😂😂
Mie die hard mlokoletafta sponsa lililoshiba😂 ulokole utausahau😂
kitambi cha chips kileeeeee😂Tution 👩🏫📚View attachment 2672687
Basi sawaa.Aaah,Fursa ishapita ,ila ngoja niulize tena, ukafanye screen test jmos
Hiyo kitambi sana shemNiko poa sana shem, sijakuona toka juzi kumbe ulipeleka mtu kanisani. mshamba_hachekwi
Hiyo picha maneno yake, yamenikoshaa mnoooo.Kumbe wewe shem Tinsley ndio unakaa na viremba kichwani[emoji23] boyfriend anajaribiwa chumbani na kutoa huduma sio kanisani kwenye maombi. Maombi ni kazi ya mwanamke kumuombea boyfriend wake. View attachment 2672614
Nikaushie youngie 😂😂😂kitambi cha chips kileeeeee😂
Sio cha chips, uko outdated mla mihogo wewe.kitambi cha chips kileeeeee😂
mtu mwenyewe ninaona church ni kama kituo cha polisi😂Niko poa sana shem, sijakuona toka juzi kumbe ulipeleka mtu kanisani. mshamba_hachekwi
Dawa ni kunywa maji ya baridi😂 tufanyaje sasa? Chai tumekunywa mpaka basi
Karibu sana kanisani kwetuNiko poa sana shem, sijakuona toka juzi kumbe ulipeleka mtu kanisani. mshamba_hachekwi
Naomba picha wakati unakunywa maji ya baridi😂Dawa ni kunywa maji ya baridi
Baridi kwa baridi vikutane vigombane vyenyewe 😂😂
wadada wote wanasemaga hivi😂Mie die hard mlokole
Namuaachaje huyu Yesu 😍😍
Kwanzaa sponsa mwenyewe
nataka slay queen na sipo huko
Nikivalia gauni langu refu hadi mguuni
G ndo kituooo cha mwisho, labda mie nirudi nilikotoka, au yeye abagazwee na waja. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimpima G yanaenea kabisa, au tumtazamie mwingine. [emoji23]
Sponsor out 😂😂😂😂😂wadada wote wanasemaga hivi😂
Karibu auntAaliyyah
Shangaziiii uko wapiii, nakujaa hapo kula nyamaa, tena uniambie kabisa nipige code gan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana kuna mualiko nimepewa, hizo code za kutupia ni jau.
[emoji23][emoji23][emoji23] nifanyie fea, nilipuke km navyolipukagaaa.
Nakuja na ndizi kabisaa, hata usipatee tabuu shangazii akee.
field gani hiyoNi mbinu yao iliyo fail kwa field