Maisha ndugu😂Kwann unakaa changanyikeni 😂😂
Watz hatujazoea harusi za weekdays
kila mtu kaselfika leo mzee, bado wewe tuHuyo mtoto ananipa wakati mgumu sana
Kwakweli yuko vizuri na hua anatuma na ya kutolea 🥰Ningeshangaa mwamba Jack Palladino ashindwe kutoa matunzo. Angalia hapo moto unaweza kuwaka maana mbao nyingi.
Sawa,hongera sana lakin ndo utukaribishe saahiii😂😂😂😂Location.. mbagala chamanzi
Event.. Naowa
Karibuni sana. Ndugu jamaa na marafiki
Hiyo hotel nishaijua🤣🤣😂😂 majirani hao
Nilitoka nje kutupa taka.. hapafai hiyo winter.. walinzi Mungu awatie nguvu
😂😂😂🙏🙏 Ndo hivo tena imetokeaWatz hatujazoea harusi za weekdays
Hii hujadownload mkuu
Uwepo wako muhimu sana mdogo angu...🙏🙏🙏😂acha basi mkuu...
mbona kama unatuleta
vipi chawa wako Intelligent businessman hajafika😂Uwepo wako muhimu sana mdogo angu...🙏🙏🙏😂
Aahh hapa umeturusha matuta mzee😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏 Ndo hivo tena imetokea
Unakaribishwa popote ulipo.. na ni ofa kwa membership wa jf ataingia bure pale ukumbini.. tiket username yako tuu 🙏🙏🙏🙏🙏
Hotel gani 😂Hiyo hotel nishaijua🤣🤣
Nakaziakila mtu kaselfika leo mzee, bado wewe tu
😂😂😂🙏🙏 Ndo hivo tena imetokea
Unakaribishwa popote ulipo.. na ni ofa kwa membership wa jf ataingia bure pale ukumbini.. tiket username yako tuu 🙏🙏🙏🙏🙏
Siijui hii banaChino wana man 😛View attachment 2670901