mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,579
auntie uko vizuri hadi bad boys unawajua😂Hahaa na wanakuaga na hela kama zote madenti, maana hapo anapiga vizinga familia nzima😂
Totoo tatizo lake ni bad boy, angekua mwema tungemfikiria