Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanza wenye hela full stress
Huku wanawake wanamfata na kumtongoza

Bora upate wa kufanana naye na kawaida hakusumbui sana .

Sikiliza wimbo ule diamond Yatapita ,naupenda sana .
Na Kuna wasio na hela pia full stress

Ni kuomba tu Mungu Upendo wa kweli uwepo bila kujali pesa ipo au haipo..

Kuna watu wana pesa na wana true love
Kuna wengine hawana pesa na wana true Love vilevile

Kuna watu pesa wanayo na ni vichomi
Na Kuna vichomi plus,pesa hana na stress kama zote.
 
Hao ndo wanaume 😂😂😂
Yani ndo maana siku hizi wadada wanazaa tu watoto na kutulia .
No stress .

Kuna msemo huo , its better to cry in a Mercedes Benz than on a biycle
 
Back
Top Bottom