Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Pesa ni motivatorkisima kisichokua na maji, kinakataje kiu??😂
Mnataka msipendwe 😂😂😂
Pesa ni motivatorkisima kisichokua na maji, kinakataje kiu??😂
Hajasema ubwetekeWeeee anawasaidia Wapi mtu ukae tu kumtegemea mwanaume unabweteka tu ndio dharau nananyanyaso yanaenda anzia hapo!! Japo sio kwanza wote ila hio mbaya sana asee!
Unapenda pesa sio ?Pesa ni motivator
Mnataka msipendwe 😂😂😂
Weka contact zako tuwape wajuziHapa sasa hapafai ,kama mtu yupo anione
tafuteni motivator nyingine.... bakini kwenye tall dark and handsome😂Pesa ni motivator
Mnataka msipendwe 😂😂😂
Wanaume u mwanaume wako?Hajasema ubweteke
Amesema source ya kwanza ya mapato ni wanaume
Nyingine ni ziada.
Huku wapi😅😅Yanii.. tena huku mbele kabisa ndio kazipunyua Kweli bora ingekua katikati!!
Pesa yangu mwenyeweUnapenda pesa sio ?
Tafuta gellyYanii.. tena huku mbele kabisa ndio kazipunyua Kweli bora ingekua katikati!!
Kuziweka hapa ni ngumu kdg ,ila waambie wanitafuteWeka contact zako tuwape wajuzi
Kuna watu wanajua ila hawapo jf.
Nimeongelea kiuwingiWanaume u mwanaume wako?
Wanakutafutaje na jf hawapo?Kuziweka hapa ni ngumu kdg ,ila waambie wanitafute
Ngoja nifanye hivo!Tafuta gelly
Dawa Achana nayo
Hahaaa kazi kwenu 😂😂tafuteni motivator nyingine.... bakini kwenye tall dark and handsome😂
aha kumbe hela sio ishu, unachangamsha tu genge😂Ninaweza toka na mtu yoyote
Vunjabei nadhani hana maana hiyo.Sawa sawa, unakutana demu ana bwana ake ,na bado nakupiga mizinga
Kwanza wenye hela full stressaha kumbe hela sio ishu, unachangamsha tu genge😂
Chako ni chako tu hata kama ni kidogo una uhuru nacho mume hata awe na mabilioni ni yake sio yako!!Vunjabei nadhani hana maana hiyo.
Anaongelea watu wenye mahusiano/ndoa serious.
Source ya kwanza ni mwanaume
Haijalishi pesa yake ni kidogo au nyingii
Nyingine ni ziada
Hata kama ni mamillioni ya pesa[emoji23]
Hajasema chako siyo chako[emoji23]Chako ni chako tu hata kama ni kidogo una uhuru nacho mume hata awe na mabilioni ni yake sio yako!!
Hahahaha,oooh kumbe kama ni hivyo yuko sawaVunjabei nadhani hana maana hiyo.
Anaongelea watu wenye mahusiano/ndoa serious.
Source ya kwanza ni mwanaume
Haijalishi pesa yake ni kidogo au nyingii
Nyingine ni ziada
Hata kama ni mamillioni ya pesa[emoji23]