Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwe unapaka tu gelly
Unachana na mswaki.
Mambo ya kuweka dawa kali za mihogo vinywele vyenyewe vya mbele vinakuwaga vya kuokoteza
Kabisa plus juzikati nilisukaga weaving likanikata nywele mbele then alienifumua akazikata kama zote sasa dawa naona ndio inataka kuzinyonyoa ziishe kabisa nianze moja!!
 
Kabisa plus juzikati nilisukaga weaving likanikata nywele mbele then alienifumua akazikata kama zote sasa dawa naona ndio inataka kuzinyonyoa ziishe kabisa nianze moja!!
[emoji23][emoji174]
Mfumuaji alikuwa haoni?
Sipendi watu ambao hawajali nywele za wenzao..Imagine mtu anakatakata tu bila kuangalia.

Ni heri mtu akatae kunifumua kuliko anifumue kwa kunikata.
 
Attachments

  • IMG_20230627_110405.JPG
    IMG_20230627_110405.JPG
    20.9 KB · Views: 8
[emoji23][emoji174]
Mfumuaji alikuwa haoni?
Sipendi watu ambao hawajali nywele za wenzao..Imagine mtu anakatakata tu bila kuangalia.

Ni heri mtu akatae kunifumua kuliko anifumue kwa kunikata.
Yanii.. tena huku mbele kabisa ndio kazipunyua Kweli bora ingekua katikati!!
 
Back
Top Bottom