Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Kama una kete fichaLoooh! utanikuta hapa, ila tu usije naye huku ptyuuu
Niko nae, nakuja nae
Kama una kete fichaLoooh! utanikuta hapa, ila tu usije naye huku ptyuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba atanikamata yuleKama una kete ficha
Niko nae, nakuja nae
mapenzi kitu gani bana😂Kabonge na mwanao Tinsley ndie wa level yako 😂
Na mimi tena kaka una mashaka na mm😅wangekua hawa vijana mshamba_hachekwi na Mwachiluwi ningekua na wasiwasi🤣
mara moja moja sio mbaya😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tulikua tunaenda kutafuta uyoga, masuku na madongaa, sasa tumetafutaa wee ikabidi tukae chinii tupumzike tulee masuku.Lile chimbo hatari sana,
Hata yale matukio mengine mle ilikuwa ni kawaida sana. Maana ukijichanganya pale chagua, ulalie majani au ufanyishwe mazoezi.
Mungu atusamehe tu kwa kweli.
Muulize nani alimbembeleza alivyokua analia
Dah wewe mtoto una adabu kabisausiniweke na huyu mla chipsi😂
ice cubes na hilo baridi la chuga😂Naomba cubes mshamba_hachekwi View attachment 2669558
mtaachana tu!!Dah wewe mtoto una adabu kabisa
Achana na mimi sepamtaachana tu!!
Unatafuta vidonda vya tumbo kwa udi na uvumba eehNaomba cubes mshamba_hachekwi View attachment 2669558
Unatafuta vidonda vya tumbo kwa udi na uvumba eeh
Mieleka mtoto wa kike ya nini😅😂😂 leo silii
Naangalia mieleka
Nipo Bukobaice cubes na hilo baridi la chuga😂