Kwakuwa nchi yetu bado changa kiuchumi ni bora Serikali ingepiga marufuku uuzwaji wa pombe nchini ili watu wafanye kazi. Watu wengi wanashindwa kumudu majukumu mbalimbali kutokana na unywaji wa pombe, hivyo hupelekea kutokufika malengo yaliyokusudiwa. Hivyo ushauri wangu kwa Serikali ipige...