Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨ Tinsley
 
Mapenzi shata shataaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushee tafadhariii, na ucharuko wangu woteee siku hiyo ulikata fyaaaa.

Ila wajeda jamani, wana nn lakini??
Ule msitu ni urimbo, ukiiingia lazima utumikeπŸ˜†πŸ˜†
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko kaenda kojozwa na hao wa nyakibooo??
katoka zake huko kuruka ruka mpaka kamaliza chuo ashajiona fundi mwenyewe, kufika kule ndo anajiita afisa katolewa ndoo ndogo ya maji akaona oooh kumbe muda wote huo alikuwa nursery [emoji23][emoji23], embu nimtafute Kemi wangu leo nijarib kumaliza tofauti zetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeee. Ngoja nitafute muhaya na mie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko kaenda kojozwa na hao wa nyakibooo??
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£!
Hapanaaaa hata wa mikoanii wako vyediiii sana udugu!!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…