Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa uzoefu wangu Hio labda inaongezea tu make ukila ndizi mara kwa mara hata maeneo unayasikia kabisa yanakua lainiiiiii! Hasa zile ndizi bukoba zile kubwa nene laini!!
Na nyanyachungu pia nasikia zinalainisha uke!
Nafeli sana sipendi ndizi wala hizo nyanya chungu .

Ndizi nakula mara chache kweli
Zile kubwa eeh

Na bamia je ???
 
Tinsley unamsikia shem ako 😊😊😊!!

Mie nishastaafu Nalea wajukuu tu saivi mambo yenu Vijana hayo!!

Enjoy to the fullest maisha ndio hayahayaaa!!
Naona shem yuko vere ile mbaya ni mwendo wa kuenjoy 😂😂😂

Yeah kweli tunaishi mara moja tu .
 
Nafeli sana sipendi ndizi wala hizo nyanya chungu .

Ndizi nakula mara chache kweli
Zile kubwa eeh

Na bamia je ???
Yeah hata hizi ndogo ila zile kubwa ni zaidi.. Bamia pia nasikia zinaleta lubricants!!
 
  • Mshangao
Reactions: 511
Ule Msitu una matukio sio poa[emoji28][emoji28]
Ulikamatika na wewe[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushee tafadhariii, na ucharuko wangu woteee siku hiyo ulikata fyaaaa.

Ila wajeda jamani, wana nn lakini??
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Una balaa si la kitoto, yani unapenda ndizi kubwa tu, sasa vibamia vya nini tena unaulizia😅😅 Antonnia
Weee mwambie kubwa sana zitamtoa kizazi 😄😄😁😁🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️

Bamia zinaleta lubricants shem akee T😁
Hebu nikapike kwanza mimiiii🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🙌🙌 🤣🤣🤣😂!!
 
Back
Top Bottom