Hawamtozi kodi za ajabu? Mimi tatizo langu sitaki kumletea mtu wa familia zawadi, halafu nimpe mzigo wa kodi za ajabu kama tunafanya biashara.
Watu washaanza vyombo katikati ya wiki?
Nishatupi, iko hapo juu.Ni kelele tuu
Hebu tupia basi
@Karma
Hebu wataje ili nikuongezee list.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmhh ila kwa wewe naweza nikaamini,, kwa sasa wa kwako nawajua watatu tu kwahiyo wakija hao wamekwisha..
Hahah...@Mshana Jr hebu du ze nidful[emoji3][emoji3][emoji3] ye baba
Uzuri mimi wadogo zangu wanakuja kunitembelea kila mwaka, nitawapeleka madukani wenyewe na vingine watanipora wenyewe waende kujiju huko kwenye customs bongo kuviingiza.Last time i checked, barrel moja zile za 55 gallons alikuwa anacharge 250$...
Humo ndani ya barrel unaweza squeeze nguo nyingi sana...
Hiyo charges zinajumuisha kufuata mzigo kwa addr yako na kusafirisha, ukifika Dar unaenda pick godown zao/nduguzo wanapick pia it's possible...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora ukuwe tuu mpole jamani
Watu washaanza vyombo katikati ya wiki?
Au supu ya pweza?
Hebu fanya mambo shee, kelele ziambatane na picha.Naona wameweka kelele tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Hebu wataje ili nikuongezee list.
Yeah nasikia hata mods wanatambua watu wenye id zaidi ya moja kwa njia hiyo,, namna anavyochapa..
Halafu wanavyounganisha wanaunganishaje
Ndio.[emoji2296][emoji2296]niwataje hapa??
Nakutania tu, najua we mzee wa Opus Dei kuna kazi zenu zile mapigo ya Spartacus zinataka sober mind muda wote.Hahahaa hii strong ginger, wanakuwekea lemon pembeni na asali. Vyombo vimenipita pembeni kaka.
Hahah...hiyo siri acha tuijue wachache, ninyi kukurukeni tu na maID mengi kichwa kichwa...ukijimiksi tu...yanawekwa kapu moja
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]mmhh surprise tena?? Itabidi nianze kuwa makini aisee!!
Ndio.
Hahah...not in a bad way...namaanisha zile unajiuliza hivi nilikuwa wapi siku zote...hivyo