Ni ilala yes, anatakiwa ampate pailo, ili akiwa na Bello aanze yeye kuchagua kabla ya kupelekwa sokoni.Ilala dear
Au karume hapo
Naaonaga asubuhi wanawahi upate nzuru .
Pailo ndonini tena huko Daslam udugu akee 😊😊😊🤣🤣!Ilala pale Inatakiwa ukamate ma pailo wakupe mtumba grade 1,
Ni nzuri balaaa.
Huko vipi nguo toka UgandaAhaaa asante ngoja nimwelekeze!! Bukoba sio kwa kununua vitu huku ni kuna bei balaaa!!
Nafurahi kusikia hivyo🤗Nilikuwa najisikka uchovu, ila baada ya kuona ahadi yako kuwa niandae kibakuli, najisiki buheri wa afya. 😅
Si wenye Mabello kabla halijafunguliwa, ukimkamata huyu biashara inanyooka, unapata kitu kikaliiiPailo ndonani tena huko Daslam udugu akee [emoji4][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787]!
Ndo mwenye Bello [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kampala pia kuna nafuu bei chee na nguo ni nzuri kinoumaaaa!Sema kuvusha pale boda kama huna pass inasumbuaHuko vipi nguo toka Uganda
My mom alikuwa anaendaga huko kuchukua vitu
Mapochi sijui nini .
Santo sana !!Si wenye Mabello kabla halijafunguliwa, ukimkamata huyu biashara inanyooka, unapata kitu kikaliii
Ila usimwambie Jack Palladino na huyu mwenye shamba la bangi kule kisimiri mshamba_hachekwi kuwa umefurahi kusikia hivyo. Watanisagia kunguni hawa nikose bagia 😅😅Nafurahi kusikia hivyo🤗
Duh ndo shida sana hapo border , ingekuwa raha unatuma mzigo mikoa mingine hata .Kampala pia kuna nafuu bei chee na nguo ni nzuri kinoumaaaa!Sema kuvusha pale boda kama huna pass inasumbua
Huyo kwakua yupo Huko Dar ndio nataka anifanyie mafekecheee!!
Muambie huyo mtu aende ilala palee akifika awaulize wale wauzaji pailo yuko wapi ataoneshwa boss husika, maana wale wanaouzaga pale ni madalali na vishokaa tyuuh.Santo sana !!
Sasa unatoa vitu vikali daslam unapekeka mpitimbi halafu unategemea u win😅Ndo mwenye Bello [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nifanya biashara nikiwa 2nd yr, ya Madira na vitengee (wax na Java). Sema mkoani kwetu watu ujuaji mwingi wakani felishaa.
Ko najua jua chocho za biashara, hasa kkoo na ilala
Eeh kumbe ndo majina yao hayoNdo mwenye Bello [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nifanya biashara nikiwa 2nd yr, ya Madira na vitengee (wax na Java). Sema mkoani kwetu watu ujuaji mwingi wakani felishaa.
Ko najua jua chocho za biashara, hasa kkoo na ilala
Yani kulee kuna pambaa kareee kama hukoo vipodozi ndio pakee sasa sema vipodozi boda wanasumbua zaidi kama huna kibali ni Changamoto sana!Duh ndo shida sana hapo border , ingekuwa raha unatuma mzigo mikoa mingine hata .
Yeah hakika atapata mzigo mzuri .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee achaa tyuuh, ndo hivyoo bhanaa.Sasa unatoa vitu vikali daslam unapekeka mpitimbi halafu unategemea u win[emoji28]
Ah ndo changamoto biashara inakuwa ngumu kabisa .Yani kulee kuna pambaa kareee kama hukoo vipodozi ndio pakee sasa sema vipodozi boda wanasumbua zaidi kama huna kibali ni Changamoto sana!
Tatizo mie sio Pa kuanzia, wazazi hawataki nikae huku km mchongo haueleweki, wao wanataka iwe kazi rasmi, hata km ya kujitolea.Eeh kumbe ndo majina yao hayo
Hongera basi una pa kuanzia huku ukisubiria pakupata kazi .
Mtoto wa kishua, we kila kitu unasikia, njoo kwa field🤣Ah ndo changamoto biashara inakuwa ngumu kabisa .
Si kama vitenge nasikia vinaagizwa Zambia huko .
Mchumba karibu mtaani[emoji869][emoji869]Tatizo mie sio Pa kuanzia, wazazi hawataki nikae huku km mchongo haueleweki, wao wanataka iwe kazi rasmi, hata km ya kujitolea.
Mishe binafsi za kawaida hawatakiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]