Selfika na JF: Snap it. Show it

Yah inabaki niliona pia
Nusu nidumbukie kwenye pipa πŸ˜‚πŸ˜‚ .

Naosha weh wapi , πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimeipigia salute u
Ndio mie sasa ananiosha ananiuliza wapi wanawasha mi najifanya hamna..akasisitiza ukisikia panawasha ujue dawa haijatoka vizuri itakuunguza wee hujusikii panawasha najishaua tayariii sisikii maumivu haaahh kukaa vizurii nasikia Sehemu panawashaaa uwiii kuja kupasugua vizuri kidondaaaaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Eeh pole sana , kikubwa kabisa ??
Mimi nywele tu zimegandana
 
Unamwambi kadoda kuwa, unajaribu style mpya ili kama inafaa ashirikishwe. Si unajua majaribio huwezi fanya hom[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa majaribio ndo yaanze na yeye, ili nje ikiharibikaa asigundue.
 
Reactions: 511
Nambie dear, naona uko buzzy na mambo ya dawa ya muhogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], fanya unyoe tyuuh.
Hehhee akya nani
, Muhogo kama muhogo uwii πŸ˜‚

Umeniacha hoi wewe dada πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: 511
Uhembe wa mayau, apu hinu dawa yaki vivika mnjwirii ndo atinike mmutu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann dadaa?? G anapenda niwe na low cut hivu na ka way, bas Nam malizaa mwenyewee.
Hahhaa sharti ni kuwa yeye anapenda .
Mnajiandaje na semester kuisha .
 
Hahhaa sharti ni kuwa yeye anapenda .
Mnajiandaje na semester kuisha .
Maandalizi yako fresh, tutaishii kibishii hivyo hivyoo.
Tutasogeza siku kibishii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…