Selfika na JF: Snap it. Show it

Muhogo ni moto sana
Na ni kali ,pole sana
Ukiweka mbele huku nibalaaa zaidi .
Asante dear!
Yaniii Afu mbele kwenyewe nywele zangu zilikatika balaa ni twakuokoteza tu alivorundika Ndiomana dakika hiohio anaweka naunguaaa!! Muhogo Ni motoo balaa!
 
Asante dear!
Yaniii Afu mbele kwenyewe nywele zangu zilikatika balaa ni twakuokoteza tu alivorundika Ndiomana dakika hiohio anaweka naunguaaa!! Muhogo Ni motoo balaa!
Kha sijui alikuwa anatafuta nn
Maana ikigusa tu ngozi ni kuungua

Mimi niliokota mchanga nikaweka kwenye nywele uwii
Maumivu
 
Kha sijui alikuwa anatafuta nn
Maana ikigusa tu ngozi ni kuungua

Mimi niliokota mchanga nikaweka kwenye nywele uwii
Maumivu
Itakua vitu wanavyochanganyia ni vinomaa sana

Khakhakhaaaa mchanga / vumbivumbi linasaidia walau!!
 
Vikali sana uwiii
Na imebaki kwenye kopo

Ah maji niliona yapo mbali sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu kuiosha inatakiwa kichwa wakuoshe maji mengi wakusugue vizuri ikibaki tu unaungua zaidi!
 
coca wee ni chizi ujueee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]!

Hio Lazima itoe kizazi weeeehh[emoji119][emoji119]!! Ni ngiiihhh!!![emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mie akiwa anairukiaa, nafunga miguu, pumbu zake zitagonga magoti yangu, utasikia zinapasuka "pchuu pchuu"

Ndo akili itamkaa sawaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu kuiosha inatakiwa kichwa wakuoshe maji mengi wakusugue vizuri ikibaki tu unaungua zaidi!
Yah inabaki niliona pia
Nusu nidumbukie kwenye pipa πŸ˜‚πŸ˜‚ .

Naosha weh wapi , πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimeipigia salute u
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo mie akiwa anairukiaa, nafunga miguu, pumbu zake zitagonga magoti yangu, utasikia zinapasuka "pchuu pchuu"

Ndo akili itamkaa sawaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utauaaaa udugu akee lol! Hio ikipenya lazima itokezee mgongoni weeehπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…