Selfika na JF: Snap it. Show it

@Karma
 
Nimekuelewa Mkuu 👏👏💕

Unfair Life should exist....!
But the unfairness should be fair.

Maana yake, hatuwezi kuwa na maisha ambayo kila mtu yuko sawa na mwingine.

Lakini, ni muhimu tuwe na maisha ambayo kila mtu ana fursa sawa za kuwa sawa na mwingine au hata zaidi.

Kundi moja likokosa fursa wakati lingine lina fursa kibao, hiyo ni zaidi ya unfair, hiyo ni inequality.

Hahaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…