hilo nalo neno,, nitaitikia kwa wale ambao ninawakubali tu maana nina crew langu la wakaka humu nawakubali mno yaani nikionaga comments zao hata kama wameandika pumba nafarijika tu mimi..
hilo nalo neno,, nitaitikia kwa wale ambao ninawakubali tu maana nina crew langu la wakaka humu nawakubali mno yaani nikionaga comments zao hata kama wameandika pumba nafarijika tu mimi..
Khaa na vyenye kuna id kongwe zimeanza kupotea humu basi sisi tuliojiunga mwaka huu wengi tunaonekana ni old members in new ids kumbe wala,, hauwezi amini eti kuna watu humu hadi leo wanadhani mie ni old member in new id na nimeamua kuwaacha waamini hivyo hivyo nifanyaje sasa.. maana siwezi kujitetea sana utadhani kuna viboko