Mwanamke haachwi, anapumzishwa tuNishaambiwa niache umalaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka niachweeee kabisaaaaa!!!
Wanaume wenyewe wachache shem
Mwanamke haachwi, anapumzishwa tuNishaambiwa niache umalaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka niachweeee kabisaaaaa!!!
Wanaume wenyewe wachache shem
njoo maeneo.. nikuoneshe hadi video zake 😉😉[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee usinambieee ebu lete file lake chapu
Sio lazima kula kila kinachokujia, vingie ni vitamu sana, ukionja utajuta bora uviache huku roho inauma.
Mwanamke haachwi, anapumzishwa tu
njoo maeneo.. nikuoneshe hadi video zake [emoji6][emoji6]
haya wahi basi 😉Kwa hilo nakuja babuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nina wivu na utraaaamu wangu
Zipu inakutu, ukijaribu kufungua tu inakatika kabisa.Bro umekaza kiuno kwa udugu wetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umegoma kulegeza zipu???
Mmekutana wote vichaa, ataanzaje kukuacha?Huyu wangu kichaa ataniacha kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo dawa sasaKazi na dawa😊View attachment 2664503
haya wahi basi [emoji6]
Unatafuta mrembo wa kukupoozasiji huku
naishia kuumia tu
Zipu inakutu, ukijaribu kufungua tu inakatika kabisa.
😅 😅 😅 mbona umeongea kirahisi sanaUnatafuta mrembo wa kukupooza
Inachangamsha kichwa hii😅Hiyo dawa sasa
Nishagive up aiseeKwahiyo umekaza bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haiji mara mbili
Mmekutana wote vichaa, ataanzaje kukuacha? Kwani mpaka anakuacha papa litakuwa wapi usimpige nalo usoni
Daaaah leo nimekamatika hapa, kila utetezi ninaotoa mnachomoa. 🙆🙆Tutaipaka mafuta ilainike isikatike [emoji6]
Nishagive up aisee
Shem haelewi somo .
Yaaa nini uteseke na kiu vya kupooza vipo..😅 😅 😅 mbona umeongea kirahisi sana