Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Daaaah leo nimekamatika hapa, kila utetezi ninaotoa mnachomoa. [emoji134][emoji134]

Umenitia mashaka mpk muda huu!! Askari anakamata wezi kweli bro?!!! Tusijichoshe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Umenitia mashaka mpk muda huu!! Askari anakamata wezi kweli bro?!!! Tusijichoshe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Askari huwa anakamata mara moja kwa mwaka kwa msaada wa Askari jamii.
 
Wee mbona inalika hiyoooooo
Anaikalia kwa juu alafu yeye ndiye anakupelekea motrooo bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwee mwe mweeeee
Napelekewa moto tena 🙆.
Si atakavunja kabisa
 
Back
Top Bottom