[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu unajua
Mjep mtramuuuuu?? Afu sasa yeye hana paparaa anaenda mdo mdo, kasi ikiongezekaa naye anakanyaga mwendo.
Mie matashtiti ya kingoni kipanda, naye analeta mihemko ya kikuryaa, pata pichaaa hapoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajaluo wake wananifikiaa wakiwa wa motoo km Odinga wakati wa uchaguzi hapo Kenya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]