Hiv nyie mnawezaje jamni 😀😀
Ninarafikiyang kipenz kaomba aje nikae nae 2 days anadai kichwa hakiko sawa anatka utulivu atulize akili mapenz yanamuendesha had huruma 😭namuhurumia
Ndo maana wiki hii nimeamua kuwa happy always mgeni akija nisimuongezee simanzi moyoni,kwakweli muwe mnatupa darasa wadogozenu Hali si shwari Vijana Hawa wataua wenzao