Kuna kipindi all Manny of ma niggas walikuwa kwenye mahusiano, Sasa mi Nilikuwa bize na ishu nyingine.
👉Nili tongozewa Hadi Dem- na aka kubali, but I was busy with ma things🤣😂
Pole sana itakuwa linakutesa sana lakn Kila jaribu lina mlango wa kutokea
Yani Mimi dear nawaza before sijafika 30 niwe na kibanda kizuri na biashara ya ndotoyangu
Mapenz hayajawahi kunitisha Wala kunipa stress na nashukuru Mungu ninabahat ya kupendwa pia yaani utulivu 100 ni kutafuta Hela tu
Mgeni Mimi: madam kwani mizigo yangu uli iweka wapi??
👉 Dr Lizzy - una taka kwenda wapi ??
👉Mgeni- nimeona una taka kuniua kwa njaa😂🤣, asubui Ina takiwa mikate m3. We una leta juisi ili nikashitue tumbo nife😂🤣🤣🤣
Amiin Asante dear ni kupambana tu
Na tuwaombee wanaotubeba kuelekea ndotozetu wasituchoke kuwa na mtu nowdays anaewaza kuhus future Yako ni nadra wachache mno