Aisee wanaume ni WA kuwaogopa sanaKwakweli hio ya Chini kwakweli nastahili double polee ila always Mungu amekua mwema sana Kwangu nyieeee kuna mambo yasikie tu kwa jirani!
Kuna kipindi all Manny of ma niggas walikuwa kwenye mahusiano, Sasa mi Nilikuwa bize na ishu nyingine.πDunia hii Ina mambomengi Yani mtu usipoyashupalia mapenz watu wanakuona wa ajabu sana π
Shekpeπ€£ππAisee wanaume ni WA kuwaogopa sana
Mara nyingi tunapendwasana ila tunaowapenda sisi ndo vichomi π
Mie Jambo langu ni tofauti kabisa haliko kwenye Mapenzi wala wanaume.....!!Aisee wanaume ni WA kuwaogopa sana
Mara nyingi tunapendwasana ila tunaowapenda sisi ndo vichomi π
Hapana tena nilivo na bahati za mtende sasa kwakweli hili namshukuru mungu [emoji1739][emoji1732] !!
Basi tu sema maisha yana mamboo mengi sana mdogo wangu!!
Mie mmama shika adabu yako Kijana!!Selfika acha Maneno mengi ww binti
Utakuwa unawaza Hela Kam mm πππMie Jambo langu ni tofauti kabisa haliko kwenye Mapenzi wala wanaume.....!!
Mapenzi matramu ukipata Mpenzi rafikii mbona utaenjoy!!
Wew nawe mgumu πππKuna kipindi all Manny of ma niggas walikuwa kwenye mahusiano, Sasa mi Nilikuwa bize na ishu nyingine.
πNili tongozewa Hadi Dem- na aka kubali, but I was busy with ma thingsπ€£π
So your a virgin?? πππ, naona unataka kuutingisha mbuyu utaishia kutingisha kalio tuπ€£ππSina x mimi
Bora hata ingekua hela mbona napewa kama zoutreeee lol!!. Na nikidunduliza nazipata pia!Utakuwa unawaza Hela Kam mm πππ
Sina x mimi
Anha so Mimi, Ni ma Akili yangu tuπ€£ππWew nawe mgumu πππ
Mie mmama shika adabu yako Kijana!!
Sina jipyaa miee !!
Kuselfika Nimestaafu!Embu selfika tuone umama wako yaliyomo yamo[emoji7][emoji7]
Kuselfika Nimestaafu!
So your a virgin?? πππ, naona unataka kuutingisha mbuyu utaishia kutingisha kalio tuπ€£ππ
Wee ni mwehuuu!So your a virgin?? πππ, naona unataka kuutingisha mbuyu utaishia kutingisha kalio tuπ€£ππ
πππIli nigundue NiniSo your a virgin?? πππ, naona unataka kuutingisha mbuyu utaishia kutingisha kalio tuπ€£ππ
Amina amina Mungu akupiganie Inshallah utafanikiwa!Pole sana itakuwa linakutesa sana lakn Kila jaribu lina mlango wa kutokea
Yani Mimi dear nawaza before sijafika 30 niwe na kibanda kizuri na biashara ya ndotoyangu
Mapenz hayajawahi kunitisha Wala kunipa stress na nashukuru Mungu ninabahat ya kupendwa pia yaani utulivu 100 ni kutafuta Hela tu
Matunda mengi mpaka yanawachanganya wachumaji [emoji23][emoji23]Na katika hayo matunda, Kuna walaji was Aina nyingi.
[emoji117]Wa kuonja na kutupa tunda
[emoji117]Wa ili mradi aonekane na tunda
[emoji117]Na was kulitunza tunda[emoji7]
Intell leo Nina ninininini [emoji23][emoji1787]