Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe "unajuana" na nani humu Karma ? Like one on one unajuana na nani!!


Binafsi naweza kichitchat na mtu ukija kusoma ukadhani huyu ameshawahi kuwa mchuchu wangu, kumbe hata pm hatujawahi kwenda
 
halafu kuna mtu (me) tunafahamiana aliwahi kukuta nachat na mtu humu (ke) kama tunajuana vile akanifuata inbox kuniuliza kama mimi na huyo dada tunajuana na mimi vyenye akili zangu nazijua mwenyewe nikamuambia ndiyo tunajuana kabisa

Akasema nimtumie namba yake na picha yake nikamuambia siwezi kupa bila ridhaa yake muombe mwenyewe akaniuliza yukoje nikaanza kuelezea yuko hivi na hivi basi ndiyo akazidi kuchanganyikiwa kutaka kumfahamu kumbe wapi mie mwenyewe simfahamu hata robo
Kama mimi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…