Selfika na JF: Snap it. Show it

MamaeeeπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
And we were just joking πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚, right mshamba_hachekwi coz we are single to death😍
 
[emoji7][emoji3059][emoji8]
 
Hapo anaonyeshwa jimbo liko wazi mkuu tunaweza tukaenda kupiga miluzi tuopoe mwali so unaona hakuna ring, paja lisikuogopeshe linaweza likawa paja lako ushalisahau πŸ˜†
 
Matajiri wa Songea ni nouma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu wakifa na mali zote zinapotea. Walikuwepo wakina Kiswele πŸ˜…
 
Matajiri wa Songea ni nouma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wakifa na mali zote zinapotea. Walikuwepo wakina Kiswele [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ashapotea,

Songeaa kwa sasa anavuma Super feo, naye ni kafara mnoo.
Magari yanaanguka holela, waliachana na mkewe kisa kukataa kutoa kafara ya mtoto wao.

Super feo ana fitina mnoo, alimfanyia fitina New force,
Zilichapwa ngumi kati ya wachina na wabongo, famchezo nn

Kung fu watu waliona livee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unamwaga mchele bila uoga kabisaaa. Inatosha aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…