Hahahaa hata mtu awe bandidu vipi anasurrender ππzinatengenezwa 1500/sec. nyingine lazima zipande kichwaniπ
halafu kukataliwa ni kukubwa ndio maana tunakua desperate.... tunacheza a numbers game....Hahahaa hata mtu awe bandidu vipi anasurrender ππ
Usiwe na papara Kijana ππhalafu kukataliwa ni kukubwa ndio maana tunakua desperate.... tunacheza a numbers game....
unatuma maombi kwa 20, 1 ndo anakupa tenda
usijifanye huelewi mapito tunayopitiaUsiwe na papara Kijana ππ
Ujana ni utapeli lakini πππusijifanye huelewi mapito tunayopitia
we mwenyewe bachela inaonekana unazungushwa tuπUjana ni utapeli lakini πππ
Duh aisee poleni sanahalafu kukataliwa ni kukubwa ndio maana tunakua desperate.... tunacheza a numbers game....
unatuma maombi kwa 20, 1 ndo anakupa tenda
Hisia zangu zimeangukiia kwa Pisi ya humu humu πππwe mwenyewe bachela inaonekana unazungushwa tuπ
Kila jambo huja kwa wakati mwafaka aisee huyo unayempa pole yeye mwenyewe hajiwezi , Kumiliki ubavu ataweza ?Ndio maana asubiri wakati muafaka tu πππDuh aisee poleni sana
Mnapitia changamoto
Wapi huko nije kutega abiriaWatu wako weekend leo wanaserebukaa, wee unakwama wapiii??
Hahaa mnajuana nyieKila jambo huja kwa wakati mwafaka aisee huyo unayempa pole yeye mwenyewe hajiwezi , Kumiliki ubavu ataweza ?Ndio maana asubiri wakati muafaka tu πππ
Kuwa juu ya ....Hahaa mnajuana nyie
Hapo alipo anaweza vuta ubavu ujue , nyie mmeumbwa kuwa juu yetu
Mungu yupo na anajibu kwa wakati Zaidi ya haraka. Kikubwa asije akajichanganya tu. Maana huyu bado ni scholar πππHahaa mnajuana nyie
Hapo alipo anaweza vuta ubavu ujue , nyie mmeumbwa kuwa juu yetu
ungejua umri wangu usingesema hiviπHapo alipo anaweza vuta ubavu ujue
Heheee usiniambie kwa hiyo mchuchu wako asiwaze mambo hayo kabisa .ungejua umri wangu usingesema hiviπ
Bora umenyoosha mikono juu mwendo wa mateka πππungejua umri wangu usingesema hiviπ
Ungenifundisha tu hiyo genes inasema nnRefer Genesis
Adhabu ya tunda ππ
Kwa Eva .
Below 25 tu huyo. πππHeheee usiniambie kwa hiyo mchuchu wako asiwaze mambo hayo kabisa .
Anyway humu ni mtandaoni so huwezi jua umri wa mtu