Tafuta hela tu mdogo wangu halafu ukitoa usitarajie malipo toa kwa roho safi tu πππvipi kuhusu nyie kuomba hela hata hamjajuana vema.....
Hehhe nani huyo πππMtunzie tunda lake yule ambaye alichomolewa ubavu wake ukaongezewa wewe. Don't fall in traps
Sijui umenielewaaaa π¬π¬π¬π¬Unadhani ana kovu usoni kwamba utanote ndiye??
Tulieni hapo
Mliwe na mle
Heheeeee
Hudumieni tu nyie mpate tunda msilalalamike πππvipi kuhusu nyie kuomba hela hata hamjajuana vema.....
Atakuja tu mtu sahihi, Uliyemtunzia ubavu wake ambaye hana papara na tunda. Tunda ni kitu cha ziada sana kwenye mahusiano. Mtu anayekupenda hawezi kutanguliza tamaa ya kula tunda huyo atakuwa na tamaa. Alafu tamaa yenyewe hata dk 10 haizidi ,πππHehhe nani huyo πππ
Sawaa , thank you .
Umeongea maneno magumu kwa mtoto π€£π€£π€£Hudumieni tu nyie mpate tunda msilalalamike πππ
Well saidAtakuja tu mtu sahihi, Uliyemtunzia ubavu wake ambaye hana papara na tunda. Tunda ni kitu cha ziada sana kwenye mahusiano. Mtu anayekupenda hawezi kutanguliza tamaa ya kula tunda huyo atakuwa na tamaa. Alafu tamaa yenyewe hata dk 10 haizidi ,πππ
Muelekeze basi aeleweUmeongea maneno magumu kwa mtoto π€£π€£π€£
mjubaππΎ hunaga nomaUnadhani ana kovu usoni kwamba utanote ndiye??
Tulieni hapo
Mliwe na mle
Heheeeee
Sijui umenielewaaaa π¬π¬π¬π¬
sasa si unaona..... wakuomba naniliu aombe, wakuomba hela aombe.... tuishiπHudumieni tu nyie mpate tunda msilalalamike πππ
Totoo, you are missedmjubaππΎ hunaga noma
nashkuru mungu romance za kikorea zimenipita ningeteseka sanaTafuta hela tu mdogo wangu halafu ukitoa usitarajie malipo toa kwa roho safi tu πππ
ila hizi friendzone aiseeπTotoo, you are missed
Sasa kama unataka naniliu uwe tayari kutoboka. Ili naniliu iendelee kutunzwa siku nyingine uitamani tena na tena πππsasa si unaona..... wakuomba naniliu aombe, wakuomba hela aombe.... tuishiπ
Msiombe mapema aiseesasa si unaona..... wakuomba naniliu aombe, wakuomba hela aombe.... tuishiπ
Asilimia 90 ya matukio unayoyaona kwenye tamthilia ni ubatili. Usije ukapoteza muda wako kuangalia huo uchafunashkuru mungu romance za kikorea zimenipita ningeteseka sana
kabisa.... yale mapenzi ya kule wameongeza sana chumviAsilimia 90 ya matukio unayoyaona kwenye tamthilia ni ubatili. Usije ukapoteza muda wako kuangalia huo uchafu
zinatengenezwa 1500/sec. nyingine lazima zipande kichwaniπmna vi maneno fulani vya ajabu sana